Bongoo movie haiendelei kwa vitu vidogo sanaa Episode no3 uyo mwalimu wa sauda alikua mganga na mkewako Alisha muona saivi anashangaa nini kama sio kutudanganya.... kuweni Makini Director unazingua
Leo ngoja niwaambie ukweli kuhusu director kakoso ni mtu director wa kisasa sana ambae hapendi sifa pia siyo mtu ambae ana malingo kama madirector wengine wakisha toa move kari ikapendwa majivuno na kujikweza kunaonekana aliwahi kunijibu vizur sana kipindi natoa ushauri wangu kuhusu snake boy ya clam vevo pia move anazo zisimamia zote story zake nzuri sana hongera sana brother 👏👏🎉🎉🎉🎉
Mzidole Mzidole upoo vzr sana pongezi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbwela utaniua nakicheko good lele eeeeh good lele😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana director. Unazidi kuwa juu sana
Nakukubali sana mzidole waokoe watu
Kuna huyu mwamba anaitwa Ngonolwa, Mzidole Mzidole Mzidole... Namkubali kinyama
Ahsant san brother keep going bila support yenu Mimi sio kitu nashukur kaka
Mzidole mzidole 🎉🎉🎉🎉🎉 Zumba haupaswi kuogopa upo na mzidole😂😂😂
Kazi.nzr sana🎉🎉mzidole walinde watu wanateseka
Kazi nzuri sana watching from Qatar
Naipenda saan tangu Kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
daaah yaani hata hapa nikose like hata 1 😅😅😅
Mzidole mzidole Iko sawa sanaa👌👌
Kaz nzur Mwamba Mbwela na Mwasi❤ kikubwa juhudi na bidii sisi tupo kuwapa saport❤
Movie zuri sana
Mzidole mzidole mzidole, hongeni san kaz nzuri
Nani kagundua kama mzidole anajua kuigiza vizuri? Gonga like ili tuende sawa much love from 🇶🇦🇹🇿♥️
Ahsant jmniiiiii
@Mzidole pamoja san
Big up kaka kazi inaeleweka sana bad man🎉🎉🎉
Mzidole kijana mwenye bidii....unajituma sana nmekukubali bro🎉🎉
Kkkk sengo uganga wapi na wapi😂😂❤
Eti twende ukanile mm😂😂
Waah 😂kumbe tupo makini wengi 🎉🎉😂😂😂🇰🇪
Mbwela kanyaga ugali bwana alafu burundi nawapenda sanaa kazi zenu
Tjr Tajiri wa ubunifu nawafatilia kutoka Burundi 🇧🇮 ndabakunda cane team Mr kakoso ❤
Bongoo movie haiendelei kwa vitu vidogo sanaa Episode no3 uyo mwalimu wa sauda alikua mganga na mkewako Alisha muona saivi anashangaa nini kama sio kutudanganya.... kuweni Makini Director unazingua
WOW 🥰 nizambasie nami please 🙏 hiyo ugari kama ni mingi ❤❤ nawapenda sana ❤Hira mko naye hapo kando 😂😂😂😂
Hongera kakoso for the beautiful work🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli mapenzi Yana nguvu Kwa hiyo sengo kamrithi mke wake😅😅
😂😂😂😂njo maanayake😂😂😂😂
WEW UNAESOMA HII COMENT MUNGU AKUBARIKI SANA
Amna na ww pya
Mzma ww
❤❤
Amen
Pamoja sana😊
Ila @MBWELA KAKANGU NAJIKUTA NACHEKA MPAKA NAULIZWA UNACHEKA NN😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Mbwela tuko pamoja kk 🎉🎉🎉🎉🎉kutoka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kalemie
Eti umusenyete kidogo 😂 hahaha utalambwa kama sukari 😂😂 any way keep it up good work ❤️
Sengo yuko serious 🙌🙌🙌
Kama sio yeye kiziwi anatupigia kelele kwenye ubaya ubwela 😂😂😂
Fire🔥
😂😂😂ila mbwela eti mwalimu😂😂
Adellah naomba unitafute
Bwela kazi unayo Kwa hiyo Ilo shuzi la ngomani😅😅
ATI Sengo unatak kumfanya nini mzidole 🤣🤣🤣🤣 kitakuramba ohooo 😂😂
Mzidoleee....mzidoleee🔥
Muzidore haikumbendezi hiyo 😂
Mwinyi mkuu KAZI nzuri
Yoo mnachelewa kutowa kazi❤
Kwani mzidole ndo nini jmn😂😂😂😂
Mrasi cheza chini kama wewe, I'm waiting for you ❤ jukua maua 🌹🌹🌹 congratulations 👏
🎉🎉🎉 thanks
@Mzidole much love ❤️
Naipenda iyo tangu congo🎉🎉🎉❤
Nampenda sana mwasi jamani...nsaidieni kumwambia..❤❤
Mzidole mzidole mzidole 😂😂😂😂😂😂😂
Mzidole 😂 nakukubali saaana
Ahsant san brother 🎉
Mwinyi mkuu umekubali muziki wa muzigole
Yaani baada ya kula akaliwe mama mtu😂😂😂
Mbwelaaa unagubuu kula kwanza ndo uongee😂😂😂
Kenya❤😮
Kumeanza kuchangamka sasa😂😂😂
Mzidole Mzidole Mzidole 😂😂🖐️
Mzidole mzidole mzidoleeee😂😂😂
Good nice one story brother mbwela 🎉🎉🎉🎉
Nani aingie tena jikoni twende ukanile mimi😅😅😅
Here from kenya 🇰🇪 👀
We Kenyans are proud of you
Mwasi leo kavaa vzr honger ako
Leo ngoja niwaambie ukweli kuhusu director kakoso ni mtu director wa kisasa sana ambae hapendi sifa pia siyo mtu ambae ana malingo kama madirector wengine wakisha toa move kari ikapendwa majivuno na kujikweza kunaonekana aliwahi kunijibu vizur sana kipindi natoa ushauri wangu kuhusu snake boy ya clam vevo pia move anazo zisimamia zote story zake nzuri sana hongera sana brother 👏👏🎉🎉🎉🎉
Ila uyu mganga balaaa sana 😂😂😂😂🇨🇩
😂😂😂😂 Mbwela unamambo ilonisuzi nini 😂😂😂
Nan akapike jikoni twende ukanile mimi😂😂😂😂
Sengo akiwepo sehemu utamjua tu😂😂😂😂
Mzidole kama hujaoa naomba niwe mkeo plz😂😂🤸🤸🤸😂🤸🤸🤸
Kwel jmniiiiii mbn mtego huo😂😂😂
Mbwela nmemiss ugali mkiuongelea mie mate yanidondoka wapendwa😋
Mwasi safari hii utapika mpk uchoke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Like from congo drc
Sengo anataka kushenyeta mtu
Nende ukamle 😂😂😂yeye ila mbwela
Ama kweli mungu n mwema nimewai jamani 😅😅😅😅😅😅😅😅😂❤❤❤❤
Mwasiiiiiiiiii jmnnn
Safi sana mzidole
Mwinyi mkuu ni noma sana
Shuzi la ngomani 😂😂
Jamni dahawa wang musimfany kt seng ukimumza uy nakunyong
Mwinyi mkuu sijakuzoea hivi nimekuzoea huwa mtetezi wa wanyonge😢😢
Sasa hivi mwinyi mkuu amezingua sana😊
Namm ni meshanga kumuona mwinyi mkuu kwahari hiyo
Duh uyu mpangaji mpya sio poaaaaah
Niliimc sana Ila sauda😂😂😂😂😂😂😂😂
SIEZI KUKOSA MAHAL POPOTE ANAPOENDA KAKANGU MBWELA ❤❤❤❤❤
MzidoIe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂watano mm like kam zote jemn
Genius kama Genius mzidole kakoso 😅
Nakubal brother 🎉
Mzidole😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Shida yangu ni like tu 😂nipewe basi
Mzidole pambana uaue wote usikubali kushidwa na wachawi
Yaani kazi ndio kwanza imeanza😂😂😂
Like Zang hpa
Unyama mwingi kama unaipenda simba piga kelele😂😂😅
Weweeeeeeeeee
Mbwela itabidi muone Mzidole sasa
Amazing ❤❤
Kazi mzuli asante sana 🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂😂Hakuna kuhama
Fast
Mzidole endelda kuwanyoosha hao wachawi
Uyoooo mzidolee apendezeii kua mganguziii kabisaa kakaaa kihunii tafuteni mtu mwengineee😂😂😂😂
Mzidole yupo Sawa mbona.
Mbonolwa kwanza haya ndio mambo yake❤
Ni mzimu
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉nimewah
watching for kenya
Mzidole njoo Kenya 😂
Hahahaha 🤣 ntakuja usjl
@Mzidole karibu sana utunyooshee watu uku
@@aishaomar2287 ahsant uko pouwah lkn
@Mzidole nko poa sana
,,😂😂😂