nitakuwa mnafki nisipotoa heshima kwa uandishi wko na aidia ni kujenga sana, ila nachoomba undelee kubuni jumbe za kweli kama hizi ili 2jifunze kupitia burudani zako.
I salute you bro, it takes courage to pin point the evil and wickedness that happens behind closed doors of places of worship, my country 🇰🇪 is bleeding, our church leaders have been in the front accepting handouts form corrupt and incompetent politicians. . Have been your fan since enzi za wrong dude. This song is well coded, it will never get old . Salute kwa mara nyingine, ni mcees wachache wana huu ujasiri wa Gen z😅 .2024 💯🇰🇪
True man it's 5yrs down since this benga ila ndio nausikiliza leo,,Kama na wewe umefika leo gonga like hapa💥💥💥💥💥 Natamani collabo yako na stamana mwaka huu plz🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kama umekam huuu mwaka kumsikiza disaster vina piga like yako hapa his dude his super talented 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲
Nafurahi ngoma ya kanisa 2025❤
We are together 🤝🏾
nitakuwa mnafki nisipotoa heshima kwa uandishi wko na aidia ni kujenga sana, ila nachoomba undelee kubuni jumbe za kweli kama hizi ili 2jifunze kupitia burudani zako.
Classic,Still Bumping This In 2024
This is the best swahili hip hop ever, Dizasta ulichoimba hakichuji kwa wenye akili
kweli mamen dizasta nyimbo zako zina nipeleka kazini na kunirudisha kwenye staff bass zinaniburudisha big up native
Kanisa ni nyimbo itadumu sana kwa vizazi vyote kwa wenye iq
hiii ngoma ina akili ya miaka 1000 ijayo.
Hii ngoma ipo mbele ya karne
Hatar san hii umewafumbua wengi mze mana makanisa yanafany tunalumban😔
Shikamoo dizasta. Wimbo wako unaishi mkuu.
Dizasta ukitaka uendelee kuwa mbunifu ktk fasihi usitake kujulikana zaid....nakufurahia broo
No one like dizasta amini usiamin@@@Big up bro
big up!Hii inaitwa chakula cha akili man!maana kanisani imekuwa nymbn ya kujifichia maovu!!!
Kila mstari umejaa na umeshiba, kiufupi this song will last forever
LEO PIA NIMEISKIZA MARA YA PILI MARA MBILI PAKA NAJIHISI NISIKUTANE NA KANISA SIKU YA JUMAPILI
We Jamaa ni balaa,nakukubali
I salute you bro, it takes courage to pin point the evil and wickedness that happens behind closed doors of places of worship, my country 🇰🇪 is bleeding, our church leaders have been in the front accepting handouts form corrupt and incompetent politicians. . Have been your fan since enzi za wrong dude. This song is well coded, it will never get old . Salute kwa mara nyingine, ni mcees wachache wana huu ujasiri wa Gen z😅 .2024 💯🇰🇪
Eti wana rap wana rap nn hawa Mackie huyu jamaa hakika blessed man
Wenimnoma yaniwenikmkali Sana ilengomayako ya sikumbau kilasiku lazimanisikilize
Nimeanza kukufuatilia since nipo standard 5 mpaka leo duuhh hiphop in my blood
Shoutout to you dizasta vina it’s me deestar snipergang
Jua kali lilinifunza kukaba,
Nikakupa maisha,na cha ajabu haujanifunza chochote..🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪much love from +254
I love your composition braza
Big p
disasta vina ndo future yako,ni kijogoo uliyekwepa mtaani alaf ukamkuta kwako
my best verse
Kali sana
Daaah inaniuma sana hii nyimbo ni balaa ukiwa na ubongo wenye welevu
unapishana na muda hakika unajua ww ni kufa na kuzika
True man it's 5yrs down since this benga ila ndio nausikiliza leo,,Kama na wewe umefika leo gonga like hapa💥💥💥💥💥
Natamani collabo yako na stamana mwaka huu plz🙏🙏🙏🙏🙏🙏
m ndo leo yn
Safi sana endelea kuwaamsha watu toka utumwa wa kifikra kaka❤️❤️🙏🏾
Who else is still here i 2023 🙄
"Kanisa nilikuja uniongoze nimpende Mungu, wewe ukanifunza nimuogope", huu mstari umeniingia haswa 🔥🙌 Unaremba Altare kuliko hata nafsi za watu
Dah brow unani inspire canah yan unaniondoah xtrexx canah nikicikizah ngomah zako
❤❤❤❤ hii nyimbo nitailudia mda wote milele
Dizasta vinaaa na kukubal aiseee
Dizasta wewe ni Genius aisee.
flow + ujumbe = Dizasta
Nakkubali sana bro endelea kupigania uafrica wetu ili tuache kuwaabudu wakolon
Ujumbe mzuri umeifikisha kwenye hadhira Kwa kutumia fasihi nzuri ata tafsida inasomeka. Safi sana
Sijui nilichelewa wapi kuujua huu wimbo! Ujumbe muafaka kaka, pongezi!!
Asante sana
Hahaha wewe jamaa ni nomaaa💥💥🔥
Dah,,, nakubali pacha
Kabisa kanisa nishida
❤❤❤❤❤❤ nakukubali sanaa
I salute you man .....real is rear ....
The true definition of a brilliant mind ...
Kila nikiisika hii ngoma namkumbuka gwajima tu...cjui ata kwann yani!! Dizasta ur genius bro
hakuna kama dizasta bongo hii
Kanisa bonge la ngomaaa 🔥🔥🔥🔥
Love from 🇩🇰🇩🇰
IQ KUBWA Sana imetumika kweny utunzi
Akilikubwa
Yeah man! Umegusa ndipo.
Nimekuelewa mzeiya
Heshima kinglegend. Unagusa subject nzuri za jamiii,🔥🔥🔥🔥🔥
Maana halisi ya music ndo hii
hongera naomba lyrics
Big respect from Kenya ur such a great lyric and poet story teller no1 they are sleeping on you bro great talent
Kazi nzuri kaka.
#revolutor
#thinker
#changer
Duuuu! Big up kwa sana aisee! Imetulia sana kwa kweli
Nakuelewa sana bro
Ni noma Mzee siyo powa
Miaka elf mia 8 million bt its idealism brother
sahihi sana mkuu.
Sichoki kusikiliza hii ngoma
Wakali wao ,Huyu mkali
napenda mistari zake Dizasta
Brilliant minds and so real, mkali kwa mic 🎤
Mara Nyingine Tena 2022 📌
Ningefurai sana kma ungeiachia hii beat
Am from Mombasa Kenya
my favourite rapper 🔥🔥
Mungu akuzidishie na akulinde bro you're the real king
Best rapper
wale wa Ngarambe boy tujuane
Msije sahau kuwa nilisema dizasta ni hatari
daima ngoma zako ni nembo ktaa
Kalisana mkali na tungo zako kuntu mzeebabaa
big up Man... it's yo die hard fan... keep it up homie, keep it real with ya
Cool one ........am from kenya
Oi dizasta ..have got a project for freestyles ...can we link up
Here 2024
toa remix ya hi ngomaa n video utachinja sanaaa
Much respect
Hii mastering na mixing another level
thumbs up bro
kanisa bonge LA ngoma
dizasta 2021 +254 feeling the lyrical assasin
Underrated musician in Tanzania
Again April 2025🎉
Daah kwa kwel kichwa hiki
Dizasta sana kweli
Abinel Nzalalila
Xan mwnng dizasta m mshabiki wak mkubwa xan
🤨🤨🤨🤨Y nlichelewa kukujua😐
Bro leta ya mskit🤔🤔🤔
Maqn sana kaka
Sahihi
Dizasta hatari sana very unique
Consciousness,,, hata na corona this track is drilling in some fucking real sense... You feel it niggaz... +254 love
Disaster cyo mtu akachunguzwe maabara 😢😂
Daaa noma
dizasta dizasta dizasta still 26 november 2020
2023 tupo pamoja
Vinaaaa
genius ....dah htr kaka dizasta
Mmmmmh hip hop is the real lifee
Nimeona X kwa Martin Maranja nikaona sio kesi ngoja nije